To God of Patriots we pray Guide our varsity Dedan Kimathi Excelling in research, innovation, education To foster better life through technology
|
Ewe Mungu wa wazalendo Linda chuo chetu Dedan Kimathi Kwa ubora wa utafiti, uvumbuzi na Elimu Kukuza maisha bora kiteknolojia
|
DeKUT, University of blessings The pride on the slopes of Mount Kenya Our heritage, diverse cultures are our hallmark Glory and honor be to you oh God
|
DeKUT chuo cha Baraka Mazingira safi, Mlima Kenya twajivunia Alama kuu yetu, urithi na tamaduni Utukufu na heshima kwako Mungu
|